23. Je, kupiga sindano kunaharibu swawm?


Swali 23: Ni ipi hukumu ya kupiga sindano mchana wa Ramadhaan? Je, kunaharibu swawm?

Jibu: Mfungaji anatakiwa kuepuka sindano kwenye mishipa. Ama sindano kwenye misuli haina neno.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 38
  • Imechapishwa: 12/06/2017