23. Asiyeswali atadumishwa Motoni milele

3- Atadumishwa Motoni milele. Allaah (Ta´ala) amesema:

إِنَّ اللَّـهَ لَعَنَ الْكَافِرِينَ وَأَعَدَّ لَهُمْ سَعِيرًا خَالِدِينَ فِيهَا أَبَدًا ۖ لَّا يَجِدُونَ وَلِيًّا وَلَا نَصِيرًا يَوْمَ تُقَلَّبُ وُجُوهُهُمْ فِي النَّارِ يَقُولُونَ يَا لَيْتَنَا أَطَعْنَا اللَّـهَ وَأَطَعْنَا الرَّسُولَا

“Hakika Allaah amewaweka mbali makafiri na huruma Wake na amewaandalia Moto uwakao kwa nguvu; ni wenye kudumu humo milele [na] hawatopata mlinzi na wala mwenye kunusuru. Siku zitakapopinduliwa nyuso zao Motoni, watasema: “Laiti tungelimtii Allaah na tungelimtii Mtume.”[1]

[1] 33:63-66

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Hukm Taarik-is-Swalaah, uk. 22
  • Imechapishwa: 22/10/2016