Jina lina adabu zake zinazotakiwa kuzingatiwa kadri na itavyowezekana:

1- Mtu anatakiwa apupie jina liwe zuri kadri na inavyowezekana kujengea zile ngazi za wenye kupewa majina.

2- Jina linatakiwa liwe na herufi chache iwezekanavyo.

3- Jina linatakiwa liwe lepesi iwezekanavyo kutamkwa.

4- Jina linatakiwa lifahamike haraka iwezekanavyo na yule msikilizaji.

5- Mtu awazingatie Malaika na asitoe jina linaloenda kinyume na rika ya mtu, dini na nafasi ya mtu.

Adabu hizi ni muhimu na tukufu.

  • Mhusika: ´Allaamah Bakr bin ´Abdillaah Abu Zayd
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tasmiyat-ul-Mawluwd, uk. 20-21
  • Imechapishwa: 18/03/2017