22. Je, maasi yanaiharibu swawm?


Swali 22: Je, maasi yanaharibu swawm? Ni wajibu kwa mtenda dhambi kulipa swawm tena?

Jibu: Maasi yanatofautiana. Maasi yasiyoiharibu swawm yanaipunguza thawabu zake. Lakini hata hivyo kuna maasi yanayoiharibu swawm kama punyeto, uzinzi na mfano wa hayo. Maasi kama haya yanaiharibu swawm kabisa.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 37-38
  • Imechapishwa: 12/06/2017