21. Sababu ya ishirini ya maisha mazuri: Usilimbikize makazi

20- Miongoni mwa mambo yenye manufaa ni kumalizana na kazi na matendo katika muda wa sasa na kuwa faragha katika mustakabali. Kwa sababu kazi na matendo yasipomalizwa basi yanakukusanyikia ya sasa na pia kunaongezeka juu yake kazi na matendo yanayokuja baadaye. Matokeo yake utekelezaji wake unakuwa mgumu. Utapomaliza kila jambo katika wakati wake, basi utayaendea mambo ya baadaye kwa fikira zenye nguvu na nguvu ya kutenda.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdur-Rahmaan bin Naaswir as-Sa´diy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Wasaa-il-ul-Mufiydah lil-Hayaat-is-Sa´iydah, uk. 31-32
  • Imechapishwa: 01/07/2020