21. Matunda ya elimu: elimu ni tunda lililobarikiwa

1- Miongoni mwa matunda ya elimu ni kuwa kheri zote zinarudi kwayo. Hakika elimu ni tunda lililobarikiwa. Ibn-ul-Qayyim (Rahimahu Allaah) anasema:

“Kila sifa aliyomsifia Allaah mja katika Qur-aan ni kutokana na matunda na natija ya elimu. Kila kitu alichokisema vibaya ni kutokana na matunda na natija ya ujinga.”[1]

Elimu ni tunda lililobarikiwa. Elimu ina matunda mbivu.

[1] Miftaah Daar-us-Sa´aadah” (01/115)

  • Mhusika: Shaykh Sulaymaan bin Saliymillaah ar-Ruhayliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-´Ilm wa Wasaaailuh wa Thimaaruh
  • Imechapishwa: 22/10/2016