21. Du´aa ya Sijda ya kisomo


50-

سَجَـدَ وَجْهـي للَّـذي خَلَقَـهُ وَشَقَّ سَمْـعَـهُ وَبَصَـرَهُ بِحَـوْلِـهِ وَقُـوَّتِهِ فَتَبَارَكَ اللَّـهُ أَحْسَنُ الْخَالِقِينَ

”Uso wangu umemsujudia, Yule aliyeuumba na akapasua masikio yangu na macho yangu kwa uwezo Wake na nguvu Zake:

“Ametukuka Allaah, mbora wa waumbaji.”[1]

51-

اللّهُـمَّ اكْتُـبْ لي بِهـا عِنْـدَكَ أَجْـراً، وَضَـعْ عَنِّـي بِهـا وِزْراً، وَاجْعَـلها لي عِنْـدَكَ ذُخْـراً، وَتَقَبَّـلها مِنِّـي كَمـا تَقَبَّلْتَـها مِنْ عَبْـدِكَ دَاوُد

”Ee Allaah! Niandike kwayo ujira, nifutie kwayo dhambi, ijaalie kwangu mbele Yako akiba na uitakabali kwangu kama ulivyoikubali kutoka kwa mja Wako Daawuud.”[2]

[1] at-Tirmidhiy (02/474), Ahmad (06/30) na al-Haakim ambaye ameisahihisha na adh-Dhahabiy akaafikiana naye (01/220) na ziada ni yake. Aayah ni nambari 14 kutoka katika Suurah “al-Muu´minuun”.

[2] at-Tirmidhiy (02/473) na al-Haakim ambaye ameisahihisha na adh-Dhahabiy akaafikiana naye (01/219).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 18/02/2020