Anataka kuagiza kafara na Zakaat-ul-Fitwr katika nchi yake


Swali: Baba yangu anaishi Ufaransa. Je, inajuzu kwake kumuwakilisha mtu akatoa kafara ya chakula na Zakaat-ul-Fitwr katika nchi yake Marocco?

Jibu: Ndio, amteue mtu amtolee kafara ya chakula katika nchi yake. Hakuna neno. Inafaa vilevile kutoa Zakaat-ul-Fitwr kuwapa mafukara katika nchi yake. Hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Liqaa' Ramadhwaaniy Maftuuh 1437-09-20 http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/L-20-09-1437-01_01_0.mp3
  • Imechapishwa: 23/06/2017