al-Albaaniy kuhusu kuigawanya swalah ya usiku kati ya Tarawiyh na Tahajjud

Swali: Katika zile nyusiku kumi za mwisho Ramadhaan wanaigawanya swalah ya usiku katika Tarawiyh na Tahajjud.

Jibu: Ni Bid´ah.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (719)
  • Imechapishwa: 15/06/2017