20. Sababu ya kumi na tisa ya maisha mazuri: Bidii kuhakikisha mambo yenye manufaa

19- Yaweke mambo yenye manufaa mbele ya macho yako na fanya matendo kuyahakikisha na wala usiyageukie mambo yenye madhara ili kwa kufanya hivo upate kuzipoteza na kuzitenga mbali zile sababu zenye kuleta mambo yenye kusononesha na yenye kuhuzunisha. Taka msaada kwa raha na kuikusanya nafsi yako juu ya matendo yaliyo na umuhimu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdur-Rahmaan bin Naaswir as-Sa´diy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Wasaa-il-ul-Mufiydah lil-Hayaat-is-Sa´iydah, uk. 29
  • Imechapishwa: 01/07/2020