20. Kujirudi kwa ´Aaidh al-Qarniy


Swali 20: Kuhusiana na kujirudi kwa Shaykh ´Aaidh al-Qarniy amejirudi katika mambo kumi na saba peke yake au amejirudi vilevile katika mambo mengine?

Jibu: Tumefikiwa na khabari kuenezwa kwa mambo haya. Sijui kama amejirudi vilevile katika mengine yaliyobaki au hapana. Allaah ndiye anajua zaidi.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Fataawaa al-Jaliyyah
  • Imechapishwa: 16/07/2017