18. Maneno ya Haakim bin Jaabir kuhusu mikono ya Allaah

17- Imesihi kutoka kwa Ismaa´iyl bin Abiy Khaalid, kutoka kwa Haakim bin Jaabir ambaye amesema:

“Nimekhabarishwa kwamba Allaah hakugusa kwa mkono Wake isipokuwa vitu vitatu: Ameipanda Pepo kwa mkono Wake, amemuumba Aadam kwa mkono Wake na ameiandika Tawraat kwa mkono Wake.”

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 21
  • Imechapishwa: 20/06/2019