179. Kumsikitikia maiti zaidi ya siku nne

Swali 179: Wanazuoni wamesema kuwa mtu asiyekuwa mke ameruhusiwa kuacha kujipamba na nguo nzuri kwa kipindi cha siku tatu. Ni upi usahihi wa maneno haya[1]?

Jibu: Haya ni sahihi. Kumepokelewa juu yake Hadiyth Swahiyh ambayo ni manneo yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Mwanamke asimsikitikie maiti zaidi ya siku tatu; isipokuwa juu ya mume miezi minne na siku kumi.”[2]

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (22/228).

[2] Ahmad (26214), al-Bukhaariy (1280) na Muslim (1486).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 134
  • Imechapishwa: 10/02/2022