Ndani yake kuna sura zifuatazo:

Sura ya kwanza: Ubainifu wa maana ya Tawhiyd-ul-Uluuhiyyah na kwamba ndio maudhui ya ulinganizi wa Mitume.

Sura ya pili: Shahaadah mbili, maana zake, nguzo zake, sharti zake, muqtadha zake na mambo yanayozichengua.

Sura ya tatu: Uwekaji Shari´ah na kwamba kuhalalisha na kuharamisha ni haki ya Allaah.

Sura ya nne: ´Ibaadah, maana yake, aina zake na ueneaji wake.

Sura ya tano: Ubainifu wa ufahamu wa kimakosa katika kuiwekea kikomo ´ibaadah (kama kufanya mapungufu juu ya yale yanayofahamishwa na ´ibaadah au kuchupa mipaka ndani yake)

Sura ya sita: Ubainifu wa nguzo sahihi za ´ibaadah; mapenzi, khofu, kunyenyekea na kurejea.

Sura ya saba: Ubainifu wa sharti za kukubaliwa kwa ´ibaadah na matendo; kumtakasia Allaah nia na kufuata Shari´ah.

Sura ya nane: Ubainifu wa ngazi za dini ambazo ni Uislamu, imani na Ihsaan.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ´Aqiydat-ut-Tawhiyd, uk. 41
  • Imechapishwa: 06/02/2020