17. Maneno ya Mughiyth bin Sumayy kuhusu mikono ya Allaah

16- Imesihi kutoka kwa Abu Ishaaq as-Sabiy´iy kwamba Mughiyth bin Sumayy amesema:

“Nimefikiwa na khabari kwamba Allaah hakuumba kwa mkono Wake isipokuwa vitu vitatu: Ameipanda Pepo kwa mkono Wake, amemuumba Aadam kwa mkono Wake na ameiandika Tawraat kwa mkono Wake.”

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 21
  • Imechapishwa: 20/06/2019