17. Kupiga kura ni njia moja wapo ya kuinusuru dini?


Swali 17: Kuingia serikalini kupiga kura ni njia ya Kishari´ah inayoinusuru dini?

Jibu: Hapana.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Fataawaa al-Jaliyyah
  • Imechapishwa: 16/07/2017