17. Je, kuvuta sigara na tubaku kunaharibu swawm?

Swali 17: Je, kuvuta sigara na tumbaku kunaharibu swawm?

Jibu: Ndio. Kuvuta sigara na tubaku kunaharibu swawm. Kwa sababu kuvuta sigara na tubaku vyote viwili vinampatia mtu raha. Ni vibaya vilivoje!

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 33
  • Imechapishwa: 12/06/2017