6- Nia ya kufungua. Yule mwenye kunuia kufungua kabla ya wakati wa kukata swawm basi swawm yake inabatilika ingawa hakutumia kinachofunguza. Hakika nia ni moja katika nguzo za swawm. Akiivunja hali ya kukusudia kula na hali ya kukusudia basi swawm yake inavunjika.

  • Mhusika: Nukhbatin minal-´Ulamaa´
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fiqh-ul-Muyassar, uk. 158
  • Imechapishwa: 26/04/2020