165. Maiti anaadhibiwa kwa familia yake kumfanyia maombolezo

Swali 165: Je, maiti anaadhibiwa kwa familia yake kumlilia[1]?

Jibu: Kwa kumfanyia maombolezo peke yake.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/416).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 120