Swali 161: Mashairi ambayo yanamsifu maiti yanazingatiwa ni katika maombolezo yaliyoharamishwa[1]?

Jibu: Mashairi yanayomsifu maiti sio maombolezo yaliyoharamishwa. Lakini haijuzu kwa yeyote kuchupa mpaka kwa yeyote na kumsifu uwongo. Hivo ndivo wanavofanya washairi wengi.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/410).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 117
  • Imechapishwa: 28/01/2022