16. Je, mfumo wa al-Ikhwaan al-Muslimuun ni wenye kutofautiana nchi na nyingine?


Swali 16: Je, mfumo wa al-Ikhwaan al-Muslimuun katika kulingania katika dini ya Allaah ni mmoja au unatofautiana nchi na nyingine?

Jibu: Mfumo wa al-Ikhwaan al-Muslimuun ni mmoja. Hili ni katika miji yote. Mpaka hii leo hali ni hiyo. Mimi nina kitabu kilichoandikwa na myemeni mmoja ambaye alikuwa nao miaka saba. Baada ya kuona makosa na machafu walonayo akawakimbia.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Fataawaa al-Jaliyyah
  • Imechapishwa: 16/07/2017