16. Hadiyth “Yule ambaye anawafunza watu kheri anaombewa msamaha… “

82- al-Bazzaar amepokea kwa ufupi kupitia kwa ´Aaishah kwamba (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yule ambaye anawafunza watu kheri anaombewa msamaha na kila kitu, mpaka nyanguumi ndani ya bahari.”[1]

[1] Swahiyh kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/143)
  • Imechapishwa: 29/04/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy