16. Hadiyth “Kueneza wudhuu´ katika kipindi kizito… “

191 – ´Aliy bin Abiy Twaalib ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Kueneza wudhuu´ katika kipindi kizito, nyayo kwenda misikitini na kusubiri swalah moja baada ya swalah nyingine, kunasafisha makosa ipasavyo.”[1]

Ameipokea Abu Ya´laa na al-Bazzaar kwa cheni ya wapokezi Swahiyh. al-Haakim amesema:

“Ni Swahiyh juu ya sharti za Muslim.”

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/195)
  • Imechapishwa: 15/04/2021
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy