16. Ahl-us-Sunnah ndio wako kati kwa kati katika Qadar

Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah ndio wako kati kwa kati. Wamemthibitishia mja kuwa na uwezo, utashi na matakwa. Lakini hata hivyo yote haya yanakuja baada ya matakwa, uwezo na utashi wa Allaah (Jalla wa ´Alaa). Vivyo hivyo wanaonelea kuwa hakuna yeyote ambaye anaweza kufanya kitu isipokuwa baada ya Allaah kutaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Mujmal ´Aqiydat-is-Salaf as-Swaalih, uk. 15
  • Imechapishwa: 24/05/2022