158. Kwa nini mtunzi wa kitabu amechagua vichenguzi kumi tu?

Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:

Na yote haya ni katika mambo makubwa ambayo yanakuwa ni yenye khatari na hutokea mara nyingi.

MAELEZO

Kwa nini Shaykh amechagua vichenguzi hivi pamoaj na kwamba vichenguzi ni vingi? Kwa sababu vichenguzi hivi kumi ndio ambayo hutokea mara nyingi. Kadhakika ndio yenye khatari zaidi. Amevichagua kwa sababu mbili:

Ya kwanza: Ndio vichenguzi ambavyo hutokea mara nyigni.

Ya kwanza: Ndivyo vyenye khatari zaidi.

Hali ikishakuwa hivo basi yana haki zaidi ya kuyatilia umuhimu na kutahadhari nayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 201
  • Imechapishwa: 19/03/2019