Swali 156: Ni ipi hukumu ya kutoa rambirambi kwenye magazeti? Je, hayo yanazingatiwa ni maombolezo yaliyoharamishwa[1]?
Jibu: Hayo sio mambolezo yaliyoharamishwa. Lakini bora ni kuacha kufanya hivo. Kwa sababu kunagharimu pesa nyingi.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/408).
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 116
- Imechapishwa: 22/01/2022