147. Je, inafaa kwa wafiwa wa maiti kujitengenezea chakula wenyewe?

Swali 147: Je, inafaa kwa wafiwa wa maiti kujitengenezea chakula wenyewe[1]?

Jibu: Hapana vibaya kujitengenezea chakula wenyewe. Lakini wasiwapikie watu wengine.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/387).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 107
  • Imechapishwa: 22/01/2022