Swali 140: Ni ipi hukumu ya kusafiri kwa ajili ya tanzia na kukaa nyumbani kwa familia ya maiti[1]?
Jibu: Itategemea na hali za familia ya maiti. Haijuzu ikiwa kuna kuwatia uzito. Lakini ni sawa endapo wanapenda jambo hilo. Jambo ni lenye wasaa.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/376).
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 100
- Imechapishwa: 21/01/2022