80- Sahl bin Mu´aadh bin Anas amesimulia kutoka kwa baba yake aliyeeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Mwenye kufunza elimu basi analipwa mfano wa yule atakayeitendea kazi pasi na kupungua chochote katika thawabu za yule mtendaji.”[1]

Ameipokea Ibn Maajah.

[1] Nzuri kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/143)
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy