133. Kufanyia uchunguzi wafu ambao kuna mashaka juu ya kufa kwao

Swali 133: Ni ipi hukumu ya kufanyia uchunguzi wafu ambao kuna mashaka juu ya kufa kwao[1]?

Jibu: Hapana neno ikiwa ni kutokana na sababu inayokubalika katika Shari´ah.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/367).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 96
  • Imechapishwa: 17/01/2022