130. Kujifunza matibabu kupitia kiwiliwili cha maiti


Swali 130: Baadhi ya vyuo vya matibabu vinanunua mwili wa maiti kutoka kusini mashariki mwa Asia kwa dhuluni la mafunzo ya kimatibabu. Ni ipi hukumu[1]?

Jibu: Hakuna vibaya ikiwa mwili wa maiti ni katika makafiri ambao hawakudhaminiwa usalama. Ama wengine haijuzu kuwakiuka.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/365).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 95
  • Imechapishwa: 15/01/2022