Download

Aanze kuingia kwa mguu wake wa kulia[1] halafu aseme:

أَعُوذُ بِاللَّهِ العَظِيمِ، وَبِوَجْهِهِ الْكَرِيمِ، وَسُلْطَانِهِ الْقَدِيمِ، مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ [بِسْمِ اللَّهِ، وَالصَّلَاةُ] [وَالسَّلَامُ عَلَى رَسُولِ اللَّهِ] اللَّهُمَّ افْتَحْ لِي أَبْوَابَ رَحْمَتِكَ

“Najilinda na Allaah mtukufu, kwa uso Wake mtukufu kutokamana na shaytwaan aliyefukuzwa mbali na rehema za Allaah[2]. Kwa jina la Allaah, swalah[3] na salaam zimwendee Mtume wa Allaah[4]. Ee Allaah! Nifungulie mimi milango ya rehema Zako.”[5]

[1] al-Haakim (01/218). Ameisahihisha juu ya masharti ya Muslim na adh-Dhahabiy akaafikiana naye. Ameipokea vilevile al-Bayhaqiy (02/442). Ni nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “as-Swahiyhah” (05/624) nambari. 2478.

[2] Abu Daawuud (466). Tazama “Swahiyh-ul-Jaami´” (4591).

[3] Ibn Sunniy (88). Ni nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “at-Thamar al-Mustatwaab”, uk. 607.

[4] Abu Daawuud (01/12). Tazama “Swahiyh-ul-Jaami´” (01/528).

[5] Muslim (01/494).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 01/09/2018