13. Dalili ya kumi na moja kutoka katika Sunnah juu ya mikono ya Allaah

12- ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Hakika swadaqah inaanguka mkononi mwa Allaah (´Azza wa Jall) kabla ya kuanguka mikononi mwa yule mpokeaji.”

Hii ni Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 19-20
  • Imechapishwa: 19/06/2019