129. Utekelezwe wasia wa kutolewa viungo na kuvipeana?

Swali 129: Je, utekelezwe wasia wa maiti akiacha anausia vipeanwe viungo vyake[1]?

Jibu: Maonu yenye nguvu ni kwamba haijuzu kuutekeleza. Hivo ni kutokana na yale yaliyotangulia katika jawabu la swali la kwanza ijapo ataacha anausia. Kwa sababu mwili wake sio milki yake.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/364-365).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 94
  • Imechapishwa: 15/01/2022