128. Kinachosemwa dhidi ya vitimbi ya mashaytwaan

  Download

247-

أَعُوذُ بكَلِمَاتِ اللهِ التَّامَّاتِ الَّتِي لَا يُجَاوِزُهُنَّ بَرٌّ ولَا فَاجرٌ مِن شّرِّ مَا خَلقَ، وبَرَأَ وذَرَأَ، ومِنْ شَرِّ مَا يَنْزِلُ مِنَ السَّمَاءِ وِمنْ شَرِّ مَا يَعْرُجُ فيهَا، ومِن شَرِّ مَا ذَرَأَ في الأَرْضِ ومِنْ شَرِّ مَا يَخْرُجُ مِنْهَا، وِمنْ شَرِّ فِتَنِ اللَّيْلِ والنَّهارِ، ومِنْ شَرِّ كُلِّ طارِقٍ إِلَّا طَارِقاً يَطْرُقُ بخَيْرٍ يَا رَحْمَنُ

“Najilinda kwa maneno ya Allaah yaliyotimia ambayo mwema wala muovu hayavuki, kutokamana na shari ya alichokiumba, akakitengeneza na kukiumba, kutokamana na shari ya kinachoteremka kutoka mbinguni na shari ya kinachopanda huko, kutokamana na shari ya kinachoenea ardhini na shari ya vinavyotoka ndani yake, kutokamana na shari ya fitina za usiku na za mchana na kutokamana na shari ya kila anayegonga usiku isipokuwa anayegonga kwa kheri, Ee Mwingi wa huruma.”[1]

[1] Ahmad (03/419) kwa cheni ya wapokezi Swahiyh na Ibn-us-Sunniy kwa nambari. (637). al-Arnaauutw amesahihisha cheni ya wapokezi wake katika takhriji yake ya at-Twahaawiyyah, uk.133. Tazama ”Majmu’-uz-Zawaaid” (10/127).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 09/05/2020