126. Kuhamisha mifupa ya maiti maeneo mengine

Swali 126: Je, inafaa kuhamisha mifupa ya maiti maeneo mengine ikishaoza[1]?

Jibu: Ni sawa ikihitajika kufanya hivo. Vinginevyo makaburi yanatakiwa kubaki juu ya hali yake.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/362).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 92
  • Imechapishwa: 15/01/2022