Swali 120: Ni upi usahihi wa Hadiyth:
“Mtapolipitia kaburi la kafiri basi mbashirieni Moto.”[1]?
Jibu: Sijui juu yake njia Swahiyh.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/337).
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 88
- Imechapishwa: 13/01/2022