12. Maneno ya Abu Bakr as-Swiddiyq kuhusu mikono ya Allaah

11- Imethibiti kwamba ´Abdur-Rahmaan bin Saabitw amesimulia kwamba Abu Bakr as-Swiddiyq (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:

“Allaah aliumba viumbe na wakawa kwenye mkamato Wake. Akasema kuwaambia wale waliokuwa mikononi Mwake: “Ingieni Pepo kwa amani!”

Ameipokea al-Laalakaa´iy na Ibn Battwah katika vitabu vyao vya ´Aqiydah kupitia kwa Fitwr, kutoak kwa ´Abdur-Rahmaan.

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 19
  • Imechapishwa: 18/06/2019