Swali 119: Je, inafaa kuyatembelea makaburi ya makafiri[1]?
Jibu: Ni sawa ikiwa katika kufanya hivo kunapatikana mazingatio. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alilitembelea kaburi la mama yake na akamwomba Allaah idhini kumwombea msamaha lakini hakupewa idhini. Alimpa idhini ya matembezi peke yake.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/337).
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 87-88
- Imechapishwa: 13/01/2022