118. Kuyatembelea makaburi siku ya ´iyd


Swali 118: Je, kufanya maalum siku ya ´iyd mbili kuyatembelea makaburi ni jambo lina msingi[1]?

Jibu: Sijui msingi wowote juu ya hilo. Sunnah ni kuyatembelea makaburi pale ambapo mtu atakuwa na wepesi wa kufanya hivo.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/337).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 88
  • Imechapishwa: 13/01/2022