117. Du´aa kati ya nguzo ya nguzo ya yemeni na jiwe jeusi

  Download

235-

رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الْآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ

“Mola wetu, Tupe katika mazuri ya dunia na mazuri ya Aakhirah na tulinde na adhabu ya Moto.”[1]

[1] 2:201 Abu Daawuud (02/179), Ahmad (03/411) na al-Baghaawiy katika ”Sharh-us-Sunnah” (07/128). Ni nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Abiy Daawuud” (01/354).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 08/05/2020