Swali 116: Je, wafu wanayajua matendo ya jamaa zao waliohai[1]?
Jibu: Sijui chochote katika Shari´ah kinachojulisha juu ya hayo.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/336).
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 86
- Imechapishwa: 13/01/2022