115. Je, maiti anamjua anayemtembelea?


Swali 115: Je, maiti anamjua anayemtembelea[1]?

Jibu: Imepokelewa katika baadhi ya Hadiyth:

“Ikiwa alikuwa anamjua duniani basi Allaah humrudishia roho yake ili amwitikie salamu.”

Lakini cheni ya wapokezi wake ni yenye walakini. Lakini ameisahihisha Ibn ´Abdil-Barr (Rahimahu Allaah).

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/335-336).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 86
  • Imechapishwa: 12/01/2022