Swali 114: Je, inatosha kuwatolea salamu wafu mara moja pale mwanzoni mwa makaburi[1]?
Jibu: Inatosha kufanya hivo na kunapatikana kitendo cha kuwatembelea. Maeneo ya makaburi yakiwa makubwa na akayatembelea pande zake zote ni sawa.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/335).
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 85
- Imechapishwa: 12/01/2022