110. Maana ya Ihsaan kwenye kazi


3- Kufanya uzuri katika kazi. Hiyo ina maana kwamba kazi yoyote unayofanya basi ni lazima kwako kuimairi. Hufanyi hivo ili kutaka kusifiwa. Imepokelewa katika Hadiyth:

“Hakika Allaah anapenda pindi mmoja wenu anapofanya kazi basi aifanye kwa uzuri.”[1]

[1] al-Bayhaqiy katika ”Shu´bat-ul-Iymaan” (04/334) (5313, 5314).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Thalaathat-il-Usuwl, uk. 229
  • Imechapishwa: 28/01/2021