11. Wale mchana, lakini kwa kujificha


Swali 11: Inafaa kwa mwenye hedhi na mwenye damu ya uzazi kula na kunywa mchana wa Ramadhaan?

Jibu: Ndio, inafaa kwao kula na kunywa mchana wa Ramadhaan. Lakini bora afanye hivo kwa kujificha ikiwa nyumbani kuna mtoto. Kwa sababu kitendo hicho kitawachanganya.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: 60 su-aal wa jawaab fiy Ahkaam-il-Haydhw, uk. 13
  • Imechapishwa: 20/06/2021