11. Hadiyth “Katika kila mchana na usiku (katika Ramadhaan)… “

1002- Imepokelewa kutoka kwa Abu Sa´iyd al-Khudriy (Radhiya Allaahu ´anh) ambaye ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Katika kila mchana na usiku (katika Ramadhaan) kuna ambao Allaah (Tabaarak wa Ta´ala) huwaacha huru. Hakika kila muislamu katika kila mchana na usiku huomba du´aa yenye kupokelewa.”[1]

Ameipokea al-Bazzaar.

[1] Swahiyh kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/586)
  • Imechapishwa: 26/05/2018
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy