11. Hadiyth “Atakayefunga siku moja katika njia ya Allaah… “

988- ´Amr bin ´Abash (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Atakayefunga siku moja katika njia ya Allaah, basi Moto utawekwa mbali naye umbali wa miaka mia moja.”

Ameipokea at-Twabaraaniy katika “al-Kabiyr” na “al-Awsatw” kwa cheni ya wapokezi isiyokuwa na neno.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (01/581)
  • Imechapishwa: 30/05/2018
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy