11. Du´aa ya kuingia nyumbani

  Download

بِسْمِ اللَّهِ وَلَجْنَا، وَبِسْمِ اللَّهِ خَرَجْنَا، وَعَلَى اللَّهِ رَبِّنَا تَوَكَّلْنَا، ثُمَّ لِيُسَلِّمْ عَلَى أَهْلِهِ

“Kwa jina la Allaah tunaingia na kwa jina la Allaah tunatoka na kwa Mola wetu tunamtegemea.”

Kisha awasalimie watu walio ndani[1].

[1] Ameipokea Abu Daawuud (5096). ´Allaamah Ibn Baaz ameonelea kuwa cheni ya wapokezi wake ni nzuri katika “Tuhfat-ul-Akhyaar”, uk. 28. Katika “as-Swahiyh” ya Muslim imekuja:

“Mtu atapoingia nyumbani kwake na akamtaja Allaah wakati wa kuingia kwake na wakati wa kula kwake, basi shaytwaan husema:

“Hamla pa kulala wala chakula cha jioni.” Muslim (2018).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 15/07/2018