11. Dalili juu ya mguu wa Allaah 11


11- Ahmad bin Muhammad bin Sa´iyd ametuhadithia: Ahmad bin al-Hasan bin Sa´iyd bin ´Uthmaan ametuhadithia: Baba yangu ametuhadithia: Husayn bin Mukhaariq ametuhadithia, kutoka kwa Yuunus bin ´Ubayd, Daawuud bin ´Abiy Hind na Swaalih al-Murriy, kutoka kwa Muhammad bin Siyriyn, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyesema:

“Hakutoacha kutupwa ndani ya Moto mpaka useme:

هَلْ مِن مَّزِيدٍ

“Hakuna zaidi?”[1]

mpaka pale al-Jabbaar (Tabaarak wa Ta´ala) atapoweka unyayo Wake. Hapo ndipo utajikusanya na kusema: “Tosha, tosha.”

[1] 50:30

  • Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 46
  • Imechapishwa: 22/10/2017